Madaraja

  • IRGC: Iran Haina Chaguo Zaidi ya Kujibu Mashambulizi ya Marekani kwa Mujibu wa Qur’an

    IRGC: Iran Haina Chaguo Zaidi ya Kujibu Mashambulizi ya Marekani kwa Mujibu wa Qur’an

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limesema kuwa, kutokana na kutokuwepo kwa taasisi ya kimataifa yenye uwezo au utayari wa kuzuia mashambulizi ya Marekani dhidi ya hospitali, madaraja, reli, viwanja vya ndege, bandari, vituo vya mawasiliano na miundombinu mingine ya kiraia, Iran inalazimika kujibu kwa mujibu wa amri ya Qur’ani: “Na wakikushambulieni, nanyi washambulieni kwa mfano wa yale waliyokushambulieni.”