Maswahaba

  • Uharibifu wa Makaburi ya Jannat al-Baqi‘ - Historia na Umuhimu Wake

    Uharibifu wa Makaburi ya Jannat al-Baqi‘ - Historia na Umuhimu Wake

    Uharibifu wa Jannat al-Baqii umeacha doa lisilofutika katika historia ya Uislamu. Makaburi haya hayakuwa tu sehemu ya kumbukumbu ya kihistoria, bali pia yalikuwa alama ya mapenzi na heshima kwa watu waliotumikia Uislamu kwa ikhlasi na kujitolea. Leo hii, Waislamu kote duniani wanaendelea kuomba urejesheaji Heshima na Staha inayostahili kwa Makaburi haya matukufu.