Kamati ya maadhimisho imesema maandalizi yanaendelea na imezitaka jamii na vyombo vya habari kuepuka kutegemea uvumi, ikiahidi kutangaza maelezo rasmi katika taarifa zijazo.
Vyombo vingi vya habari vya kimataifa vimezitaja maandamano ya mamilioni ya wananchi wa Iran kuwa ni “onesho la mshikamano” mbele ya uwepo mkubwa wa silaha za kijeshi za Marekani katika eneo hilo, na vikaelezea tukio la 22 Bahman 1404 kuwa ni la kihistoria, kubwa na la kuvutia.