Meya
-
Mashambulizi ya Kipuuzi Zaidi Kufuatia Kuongezeka kwa Umaarufu na Ushindi wa Mamdani katika Uchaguzi wa Awali wa Umeya wa New York
Zahran Mamdani, Mbunge wa jimbo na mgombea wa chama cha Demokratik katika uchaguzi wa Umeya wa New York, kupitia kampeni za wananchi amefanikiwa kuwashinda wapinzani maarufu kama Andrew Cuomo katika kinyang’anyiro cha awali na kuwa mgombea wa kwanza Mwislamu kwa nafasi hiyo. Ushindi huo, hata hivyo, umekumbwa na mashambulizi ya chuki na matusi ya Uislamu kutoka kwa baadhi ya wanasiasa, lakini yeye pamoja na wafuasi wake wametangaza kuwa hawatarudi nyuma mbele ya chuki na ubaguzi.
-
Idadi ya waliokamatwa katika Maandamano dhidi ya Serikali ya Uturuki imeongezeka hadi kufikia watu 343
Kufuatia maandamano ya Uturuki yaliyotokana na kukamatwa kwa Meya wa Istanbul, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki ametangaza kukamatwa kwa watu 343 katika majimbo 9 ya nchi hiyo.
-
Matukio 4 yanayowezekana kuwa hatima ya mpinzani wa Erdogan katika uchaguzi baada ya kukamatwa kwake
Hivi sasa, kuna hali (ihtimali) nne zinazowezekana kwa ajili ya mustakabali wa Akram Imam-oglu, Meya wa Istanbul na Mgombea anayetarajiwa katika uchaguzi wa Rais wa Uturuki.