Mwadilifu

  • Kumbukumbu ya Shahada ya Imam Hasan al-Askari (AS)

    Kumbukumbu ya Shahada ya Imam Hasan al-Askari (AS)

    Mojawapo ya malengo ya Mitume na Maimam (amani iwe juu yao), ni kusimamisha uadilifu na usawa katika jamii. Kwa mujibu wa Qur'an na hadithi za Maimamu, jamii haiwezi kusimama bila ya uongozi wa Imam Mwadilifu atakayeongoza masuala ya kidini na kijamii. Imam ni mlinzi wa sheria na mwongoza watu kuelekea haki na mafanikio.