Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (AS), akisisitiza nafasi ya Uimamu katika mfumo wa fikra na mwenendo wa kivitendo wa Hazrat Fatima Zahra (SA), amesema kuwa jambo kuu lililokuwa likimsumbua Bibi huyo baada ya kufariki kwa Mtume Muhammad (SAW) lilikuwa ni kumtambulisha Imam na kuiunganisha jamii na njia ya Uimamu.
Ameeleza kuwa kujitenga na Imam kunatoa nafasi ya kutokea kwa upotovu wa kimawazo na kimaadili, pamoja na kuiacha njia ya saada na mafanikio ya kweli.