Sare za Kijeshi

  • Mwandishi wa Kizayuni: Hamas bado ipo hai

    Mwandishi wa Kizayuni: Hamas bado ipo hai

    "Wapiganaji wa Hamas wameonekana hadharani wakiwa wamevaa sare za kijeshi, jambo linalotoa ujumbe wazi kwa wale wote waliodhani kuwa vita vya miaka miwili vya Israel dhidi ya Hamas viliiangamiza, kwamba dhana hiyo imekuwa si sahihi, kwani Hamas imerejea tena kwa nguvu kwenye uwanja wa mapambano".