Hojjatul Islam Wal-Muslimeen Dakta Hamid Shahriari, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ulimwengu ya Ukaribu baina ya Madhehebu za Kiislamu ameandika katika ujumbe wake kwenye Twitter yake kuwa: "Uhalifu wa Israel sio tu kuishambulia Iran, bali pia ni jeraha kwenye mwili wa Umma wa Kiislamu."
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Taqrib baina ya Madhehebu ya Kiislamu, Dkt. Hamid Shahriari, alieleza kuwa:
“Kwa bahati nzuri, kwa kuweka vitabu katika mfumo wa kielektroniki kupitia tovuti ya maonyesho ya vitabu, mazingira mazuri yameandaliwa kwa ajili ya kutoa huduma kwa wadau na wageni wanaopendelea kufanya manunuzi yao kwa njia za kidijitali.”