Waziri wa Biashara wa Pakistan amesema Islamabad imejizatiti kukamilisha Mkataba wa Biashara Huria (FTA) na Iran, huku pande zote mbili zikiendelea kuratibu juhudi za kuondoa vikwazo vya biashara na kuboresha miundombinu ya mipakani na forodha ili kuongeza kiwango cha biashara kati ya nchi hizo.
EAC imezindua kikao cha kiwango cha juu Kigali, Rwanda, kukabiliana na vizuizi vya biashara vya ndani, kuboresha utekelezaji wa Umoja wa Forodha na Soko la Pamoja, na kuongeza ukuaji wa kibiashara wa kikanda, huku wanasiasa na sekta binafsi wakisisitiza uungwaji mkono wa hatua za haraka na uratibu bora.