Tone

  • Tone kutoka Nahjul-Balagha 27 | Kuheshimu Hadhi ya Imamu ni Nini?

    Tone kutoka Nahjul-Balagha 27 | Kuheshimu Hadhi ya Imamu ni Nini?

    Matokeo ya utiifu ni nini?. Amirul-Mu’minin Ali bin Abi Talib (AS) katika khutba ya 156 anasema: «إِنْ أَطَعْتُمُونِی فَإِنِّی حَامِلُکُمْ إِنْ شَاءَ اللَّهُ عَلَی سَبِیلِ الْجَنَّةِ» Yaani: “Mkinitii mimi – mimi kama Imamu– bila shaka nitawaongoza katika njia ya Peponi"