Wanalia

  • Walioleta Kambi za Marekani Kuzunguka Iran Leo Wanalia: Kwa Nini Iran Inatushambulia?

    Walioleta Kambi za Marekani Kuzunguka Iran Leo Wanalia: Kwa Nini Iran Inatushambulia?

    Kwa miaka mingi, Iran iliwaonya majirani zake wa Kiarabu kuhusu hatari ya kuruhusu Marekani kujenga kambi za kijeshi katika ardhi zao, ikisema uwepo wa majeshi ya kigeni ungeweza kuzifanya nchi hizo kuwa sehemu ya vita dhidi ya Iran. Leo, baada ya kuanza kwa mapambano, kambi hizo zimegeuka kuwa maeneo ya mashambulizi, huku watawala wa Kiarabu wakijikuta wakikabiliwa na matokeo ya maamuzi waliyoyafanya hapo awali.