Wang Yi

  • Araqchi akutana na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa China na Kyrgyzstan

    Araqchi akutana na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa China na Kyrgyzstan

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amefanya mazungumzo ya pande mbili na mawaziri wenzake wa China na Kyrgyzstan. Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO). Araqchi amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kyrgyzstan, Jeenbek Kulubaev