bokoharam
-
Mjerumani aliyetekwa na Boko Haram akombolewa
alikombolewa katika operesheni maalumu iliyofanywa na jeshi la Cameroon na maafisa wa usalama wa nchi washirika
-
Jeshi la Cameroon laokoa mateka 24 kati ya 80 waliotekwa na Boko haram
Jeshi la Cameroon limeweza kuwa okoa watu 24 waliokuwa wametekwa nyara na waasi wa kundi la Boko Haram.
-
Boko Haram yafanya uvamizi na kuteka watu 80 Cameroon
Wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram, wamewateka nyara watu wapatao 80 baada ya kufanya shambulizi katika eneo la kaskazini mwa Cameroon, siku moja baada ya Chad kupeleka wanajeshi wake kupambana na kundi hilo.
-
Chad kutuma kikosi cha jeshi Cameroon kwa ajili ya kupambana na Boko Haram
Rais wa Cameroon Paul Biya ametangaza kuwa Chad itatuma kikosi kikubwa cha wanajeshi nchini mwake kusaidia katika mapambano dhidi ya wanamgambo wa kundi la Boko Haram
-
Jesho la Cameroon yawashambulia magaidi wa Boko Haram
Kwa mara ya kwanza, jeshi la anga nchini Cameroon limeshambulia maeneo yanayotumiwa na kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mwa nchi hiyo, baada ya wanamgambo hao kuiteka kambi moja ya kijeshi.
-
Rais wa Nigeria aapa kuwatafuta walioshambulia msikiti
Rais Gooluck Jonathan wa Nigeria ameapa kuwasaka wahusika wa mashambulizi ambayo yameuwa takriban watu 120 katika mskiti wa kiongozi wa Kiislamu aliyetowa wito wa kupambana dhidi ya Boko Haram.
-
Afrika
Msikiti washambuliwa kwa mabomu Nigeria
Mabomu yamelipuka na kuua waumino wengi wakiwa katika ibada ya sala ya Ijumaa katika nji wa Kano nchini Nigeria.
-
Kundi la watu wenye silaha wauwa 45 kaskazini mwa Nigeria
Taarifa kutoka kaskazini mwa Nigeria zimeeleza kuwa watu wenye silaha wamekishambulia kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuuwa watu 45.