Hatukuwa na makubaliano yoyote ya maandishi na utawala wa Kizayuni yaliyokuwa na ibara yoyote, na kilichotokea ni kusitishwa kwa uchokozi wa Wazayuni.