kujitegemea
-
Mkuu wa Ofisi ya Habari ya Urais wa Yemen, katika mahojiano na ABNA:
Hatuna kizuizi cha kuongeza mvutano dhidi ya Riyadh; Saudi Arabia inapaswa kukubali uhuru wa Yemen kabla ya kupata hasara
Zaid Al-Gharsi: Yemen italazimisha matakwa yake kwa wavamizi na itafikia malengo yake katika nyanja za uhuru, mamlaka ya kujitawala na kujitegemea. Adui wa Saudi Arabia anapaswa kuelewa ukweli huu sasa, badala ya kusubiri hadi hapo baadaye atakapopata hasara kubwa zisizovumilika.
-
Wizara ya Ulinzi Iran: Tutaendelea kwa nguvu na njia ya Kiongozi Shahidi katika kujenga uwezo wa ulinzi wa taifa
Wizara ya Ulinzi ya Iran imesisitiza kuendelea kuimarisha uwezo wa ulinzi wa nchi, kwa kuendeleza njia iliyowekwa na Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, huku ikisisitiza kujitegemea na kutumia uwezo wa vijana, wanasayansi na wataalamu wa Iran.
-
Ayatollah Ahmad Marvi: Heshima, Uhuru na Ustawi wa Mataifa Hulindwa kwa Kusimama Imara na Muqawama
Msimamizi wa Haram Tukufu ya Imam Ridha (a.s.), Ayatullah Ahmad Marvi, amesema kuwa heshima, uhuru na kujitegemea kwa mataifa haviwezi kulindwa isipokuwa kwa kusimama imara na kuendeleza muqawama, akionya kuwa kulegeza msimamo mbele ya adui huongeza ujasiri wake na kuondoa sababu za kupata nusura ya Mwenyezi Mungu.
-
Mwandishi wa Lebanon Aikosoa Vyombo vya Habari kwa Msimamo wao Kuhusu Jeshi la Lebanon
Mwandishi wa Lebanon, Laila Amasha, amesema baadhi ya vyombo vya habari nchini humo huonyesha uungaji mkono kwa Jeshi la Lebanon pale tu linapofuata sera za Marekani, huku vikilikosoa pindi linapochukua msimamo wa kujitegemea.
-
Iran na Siri ya Hasira ya Marekani:
Tatizo la Marekani si Iran Kumiliki Bomu la Nyuklia, bali ni Iran kuwa na Uwezo wa Kujitegemea katika Teknolojia ya Nyuklia
Kibri cha dhalimu huyu (Marekani/Trump) hakimaanishi kwamba Mwenyezi Mungu amempuuza au amemsahau. Kinyume chake, kadiri dhalimu anavyozidi kujipandisha juu kwa kibri na majivuno, ndivyo anguko lake linavyozidi kuwa la kutisha zaidi.