kulisha

  • Malengo ya “Kulisha Chakula” kwa “Mazuwwari wa Arbaeen” katika Uislamu

    Malengo ya “Kulisha Chakula” kwa “Mazuwwari wa Arbaeen” katika Uislamu

    Mwenye Kutoa chakula kwa Mazuwwari wa Arbaeen ni mwakilishi wa ukarimu na upendo kwa Ahlul Bayt (a.s) ambao una mizizi yake katika mafundisho ya Qur’ani yanayohimiza kutoa sadaka kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na riwaya za Imamu wa Ahlul Bayt (a.s) kuhusu huduma kwa waumini. Kitendo hiki kizuri si tu kwamba kinasaidia kurahisisha safari ya Mazuwwari, bali pia kinakuza umoja na baraka za Kimungu.