kuruka

  • Iran Yazindua Makombora Mapya Yenye Uwezo wa Kuongozwa Angani

    Iran Yazindua Makombora Mapya Yenye Uwezo wa Kuongozwa Angani

    Wataalamu wa kijeshi wanaona kuwa teknolojia ya kuongozwa kwa Makombora yakiwa angani inafanya makombora hayo kuwa na faida kubwa kutokana na uwezo wake wa kurekebisha au kubadilisha mwelekeo kwa wakati halisi na Sahihi, jambo linaloongeza usahihi na kupunguza uwezekano wa kuruka hadi mbali bila kufikia shabaha yake.