magazeti

  • Ufichuzi wa Kushtua wa Uhalifu Dhidi ya Watoto Wachanga wa Gaza

    Ufichuzi wa Kushtua wa Uhalifu Dhidi ya Watoto Wachanga wa Gaza

    Aliyekuwa mwanajeshi wa Jeshi la Wanamaji la Marekani amedai kuwa watoto wachanga 300 walipatikana katika makaburi ya muda ndani ya Ukanda wa Gaza wakiwa wamefungwa mikono nyuma, huku akidai walizikwa wakiwa hai. Amesema madai hayo hayajapata nafasi katika vyombo vikuu vya habari vya Marekani wala kujadiliwa na Bunge la nchi hiyo.