mfuasi

  • Je, Israil ni Nchi Huru au ni Jimbo linalotawaliwa na Marekani?

    Je, Israil ni Nchi Huru au ni Jimbo linalotawaliwa na Marekani?

    Kadiri ushawishi wa Marekani katika maamuzi ya Israil unavyozidi kufichuka, mijadala imeibuka ndani ya duru zisizo rasmi za utawala wa Kizayuni ikiuliza: “Je, Israil kweli ni nchi huru au ni jimbo linalotawaliwa na Marekani?” Zeev Elkin, Waziri wa Masuala ya Yerusalemu wa utawala wa Kizayuni, alijibu ukosoaji huu kwa kusema katika mahojiano ya vyombo vya habari kwamba uhusiano wa Israil na Marekani ni “ushirikiano wa kimkakati, si utegemezi.”