Marekani imefikia deni la taifa la zaidi ya dola trilioni 40 kwa mara ya kwanza, huku Iran ikikosoa vikali sera za vikwazo na “vita vya kiuchumi” vya Trump, ikisema hatua hizo haziwezi kulazimisha Tehran kujisalimisha.
Tukiwafahamu wanadamu vizuri, tutagundua kuwa wengi waliotuzunguka walitukosea kwa ujinga, si kwa uadui. Hivyo basi, katika usiku huu mtukufu, tusameheane, tusafishe nyoyo zetu, na tumrudia Mwenyezi Mungu kwa ikhlasi.