nyeti
-
Ayatollah Nouri Hamedani: Kudhoofisha umoja uliosisitizwa na Kiongozi wa Mapinduzi ni kuisaidia adui
Ayatollah Hussein Nouri Hamedani amesema kuwa, katika mazingira nyeti yanayoikabili Iran na kutokana na uadui unaoendelea wa mfumo wa ubeberu, kulinda umoja wa kitaifa ni jambo la kimkakati, akisisitiza kuwa hatua au kauli yoyote inayodhoofisha umoja uliosisitizwa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni sawa na kumsaidia adui.
-
Kundi la udukuzi “Handala”: Taarifa nyeti za jeshi la Israel ziko mikononi mwetu
Kundi la udukuzi Hanzala limedai kuwa limepata taarifa nyeti za jeshi la Israel, likionya kuwa linafuatilia harakati zote na huenda likachapisha taarifa zaidi hivi karibuni.
-
Iraq: Hatutaacha urutubishaji wa urani
Iran haitakoma kurutubisha urani; ni haki yake kama taifa huru, shughuli zote zikiwa salama na zikifuatiliwa na IAEA, na mazungumzo na Marekani yanaendelea bila kujadiliwa kwenye vyombo vya habari.
-
Upigaji kura wa leo katika Baraza la Usalama kuhusu kurejesha vikwazo dhidi ya Iran
Uanzishaji wa ‘mfumo wa kichocheo’ (Snapback mechanism / Triger Machanism) na Ulaya umeiweka Baraza la Usalama katika hali nyeti; ambapo kupinga azimio jipya kunamaanisha kurejea kwa vikwazo vyote dhidi ya Iran.