Gazeti la New York Times limesema kuwa Donald Trump ni miongoni mwa marais wa Marekani waliokumbana na ugumu mkubwa wa kuelewa mfumo wa uongozi wa Iran, hali iliyochangia kuongezeka kwa msuguano kati ya Washington na Tehran.
Msichana aliyebalehe hivi karibuni au mtu yeyote anayepata ugumu wa kufunga haruhusiwi kuacha kufunga moja kwa moja kwa sababu ya hofu au dhana tu ya ugumu.
Anapaswa kuweka nia ya kufunga mwanzoni mwa siku.
Ikiwa wakati wa kufunga atapata taabu au mashaka makubwa yasiyovumilika, ndipo anarusiwa kufungua.
Siku aliyofungua atalazimika kuilipa (qaḍā’) baada ya Ramadhani.