washindi

  • Kitabu cha “Hakimu wa Umma” chazinduliwa Kargil, India

    Kitabu cha “Hakimu wa Umma” chazinduliwa Kargil, India

    Taasisi ya Utafiti na Elimu ya Baqir al-Ulum (as) ya Kargil, India, imeandaa mkutano wa kielimu na kifasihi wenye kaulimbiu “Sauti ya Zainab (sa)”, uliowakutanisha wanazuoni, wasomi, washairi, wanafunzi wa vyuo vya dini na vyuo vikuu. Katika hafla hiyo, kitabu “Hakimu wa Umma” kimezinduliwa, huku washindi wa mashindano ya usomaji wa vitabu kwa vijana wakitunukiwa.