Hussein Jaberi Ansari amesema suala la Iran sasa linaangaliwa kwa mtazamo wa maslahi ya juu ya taifa, huku akisisitiza kuwa uwezo wa kujihami wa nchi hiyo unajumuisha nyanja za kijeshi, kitamaduni, kijamii na kimedia.
Reza Pahlavi amekuwa akipigia debe uingiliaji wa kijeshi dhidi ya Iran, akidai kuzingatia madai ya "uingiliaji wa kibinadamu," huku akiungwa mkono na kushiriki moja kwa moja katika matukio ya kigaidi na mashambulio ya kijeshi, jambo linaloonyesha uhusiano wake na mikakati ya kigaidi na vitisho vya kijeshi.