
Tweet ya Kiebrania katika Ukurasa wa Kiongozi wa Mapinduzi: "Marekani na utawala wa Kizayuni watapata jibu la kuvunja meno"
3 Novemba 2024 - 13:03
News ID: 1500863

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Ukurasa wa Kiebrania wa Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi katika mtandao wa kijamii wa X ulibeba Ujumbe ufuatao: "Marekani na utawala wa Kizayuni zitapata jibu kali la kuvunja meno kwa yale wanayoyafanya (dhidi) mbele ya Iran na Safu ya Upinzani (Muqawamah)".
