21 Oktoba 2024 - 12:47
Habari Pichani | Maandamano ya Wacanada katika kuunga mkono Taifa la Lebanon na watu wa Gaza

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Kulifanyika maandamano ya kuunga mkono Taifa la Lebanon na watu wa Gaza na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni, kwa kuhudhuriwa na makundi mbalimbali ya watu wa Canada katika nchi hii.