
Video | Kusimamishwa kwa Swala ya Ijumaa katika Eneo la ibada la ndani ya Haram Tukufu ya Sayyidat Zainab (s.a)
14 Desemba 2024 - 15:44
News ID: 1513717

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA -, Swala ya Ijumaa imesaliwa Siku ya Ijumaa, Disemba 13, 2024, huku kukiwa na mahudhurio makubwa ya Mashia kutoka eneo la Zainabiyyah la Damascus, katika Eneo la Sala la Haram Tukufu ya Hazrat Zainab (s.a) katika viunga vya Kusini mwa Mji Mkuu wa Syria. Swala ya Ijumaa iliswaliwa katika Haram hii Tukufu kwa usalama kamili na bila kizuizi chochote kutoka kwa makundi ya upinzani yenye silaha.
