-
Habari Pichani | Sala ya Ijumaa Masjid Jamiat Al-Mustafa, Dar-es-salaam - Tanzania
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Leo hii (18 -04- 2025), Sala ya Ijumaa imeswaliwa katika Masjid ya Jamiat Al-Mustafa (s), Dar-es-Salam - Tanzania.
-
Tizama video 5 na fupi za Silaha Kali za Iran zilizoonyeshwa Leo hii katika Gwaride la Kijeshi la Iran
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - "Iran imeonyesha: Makombora Hatari sana ya Fateh 360" yakipita mbele ya wajumbe wa jeshi la kigeni wanaoshiriki katika kushuhudia gwaride la jeshi la Iran karibu na Haram Tukufu ya Imam Khomeini, Kusini mwa Tehran - Iran.
-
Hizbullah yaitaka OIC na Jumuiya ya Kiarabu Kutimiza Wajibu kwa Al-Aqsa
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Lebanon, Hizbullah, imetoa wito kwa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (AL), vituo vya kielimu na kisayansi vya Umma wa Kiislamu, pamoja na wapenda uhuru duniani kuchukua hatua za haraka kutimiza wajibu wao wa kihistoria kuhusu Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Kushadidi mashinikizo na ukandamizaji wa Magharibi dhidi ya watetezi na waungaji mkono wa Palestina
Sambamba na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuendeleza vita vya kinyama na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ghaza na kuzuia kikamilifu misaada ya kibinadamu isiingizwe katika eneo hilo uliloliwekea mzingiro, nchi za Magharibi zinazouunga mkono utawala huo ghasibu hususan Ujerumani na Marekani nazo pia zimeshadidisha mashinikizo na ukandamizaji dhidi ya watetezi na waungaji mkono wa Palestina.
-
Trump kufunga balozi 30 za Marekani duniani, zaidi ya nusu ziko Afrika
Utawala wa Trump unapanga kupunguza makumi ya balozi za Marekani duniani kote, ambapo umependekeza kufunga balozi na balozi ndogo karibu 30, zaidi ya nusu zikiwa barani Afrika.
-
Afisa wa EU asema hatua zinachukuliwa kukabiliana na Chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya
Umoja wa Ulaya umetangaza azma ya kukabiliana na uhalifu wa chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika nchi za Ulaya.
-
Mashambulizi ya anga ya US kwenye bandari ya mafuta ya Ras Isa, Yemen yaua watu 33
Jeshi la Marekani limeshambulia bandari ya mafuta ya Ras Isa magharibi mwa Yemen, na kuua makumi ya wafanyakazi na wahudumu wa afya, huku makumi ya wengine wakijeruhiwa.
-
Kiongozi Muadhamu: Uhusiano baina ya Iran na Saudi Arabia utafaidisha pande mbili
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia utakuwa na faida kwa pande mbili na unaweza kuzifanya pande mbili hizo zikamilishane.
-
Ansarullah: US inashajiisha mauaji ya kimbari Gaza, yataka Wapalestina wapewe silaha
Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani inaihimiza na kuishajiisha Israel kuendeleza vita vya mauaji ya halaiki huko Gaza na kusisitiza kuwa Washington ni mshiriki wa utawala wa Kizayuni katika mauaji hayo ya kimbari.
-
Eslami aitaka IAEA kutoegemea upande wowote katika mazungumzo ya kati ya Tehran na Washington
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa Tehran inataraji kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) hautoegemea upande wowote kuhusiana na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Tehran na Washington.
-
Maeneo ya kupumzika, njia zenye kivuli kujengwa kwa ajili ya Mahujaji kabla ya Hija
Mipango inaendelea kuanzisha maeneo ya kupumzika kwa Mahujaji katika sehemu mbalimbali za Mina, Arafat na Muzdalifah karibu na Makka wakati wa Hija ya kila mwaka.
-
Ayatullah Khatami: Iran haishurutishwi wala haisalimu amri
Khatibu wa Swala ya leo ya Ijumaa katika jiji la Tehran ameashiria mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani kuhusu suala la nyuklia na kuondolewa vikwazo na akasema: "Katika mazungumzo hayo, tunapasa kuwa makini na tusimtegemee yoyote isipokuwa Mwenyezi Mungu, tusichoke kupambana, na tusifungamanisha hatima yetu na mazungumzo."
-
Rais wa Iran: Umoja wa Kiislamu ni muhimu kwa amani na maendeleo ya kieneo
Rais wa Iran Massoud Pezeshkian amesema umoja wa Waislamu kuwa msingi wa amani na maendeleo katika eneo hilo.
-
Jihad Islami: Hatuwezi chini silaha maadamu ardhi za Palestina zinakaliwa kwa mabavu
Makundi yote ya Palestina yameungana katika upinzani wao mkali dhidi ya pendekezo la kuzitaka harakati za Kiislamu za kupigania ukombozi (Muqawama) kuwaka chini silaha, afisa wa harakati ya Jihad Islami amesema.
-
Mradi wa Mji wa Wakfu wa Zainabiyyah kutoka Tanzania ukiwa huko Ghaza, umesaidia kukata Kiu ya Wadhulumiwa wa Gaza + Video
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Alhamdulillah, tunayo furaha ya kushiriki pamoja nanyi katika taarifa hii mpya kuhusu Mradi wa Maji wa Wakfu wa Zainabiyya huko Gaza.
-
Habari Pichani | Qur'an ni Uhai wa Nyoyo | Mashindano ya Hifdhi ya Qur'an na Hadithi katika Tamasha la 30 la Kimataifa yamefanyika Nchini Burundi
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Tamasha la 30 la Kimataifa la Qur'an na Hadithi, linalosimiwa na Rais wa Jamiat Al-Mustafa (S) - Dar-es-salaam - Tanzania, Dr.Ali Taqavi, lilifanyika nchini Burundi katika Msikiti wa Imam Zainul A'bidina (a.s). Katika Mashindano haya ya Qur'an na Hadithi, washiriki wa Hifdhi ya Qur'an Juzuu 5, Juu ya 4 na Juzuu 3 tayari walishaanza mashindano yao. Qur'an ni Uhai wa Nyoyo.
-
Habari Pichani | Ziara ya Qur'an Tukufu, Zanzibar - Tanzania iliyofanywa na Sheikh Ridha Dosa chini ya Usimamizi wa Jamiat Al-Mustafa (s) - Tanzania
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Sheikh Ridha Dosa, amefanya ziara maalum Zanzibar - Tanzania iliyoratibiwa na Jamiat Al-Mustafa (s) - Dar-es-salaam - Tanzania kwa ajili ya Qur'an Tukufu. Ni ziara iliyoambatana na Daura fupi kwa Wanafunzi wa Qur'an Tukufu ndani ya Zanzibar - Tanzania. Ziara hii imekuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa na Wanafunzi walifaidika zaidi upande wa Qur'an Tukufu.
-
Kikao cha Alhamisi ya Kila Wiki 2025 kwa Wanawake wa Wanaume
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Sifa Muhimu za Mtu Mwenye Mafanikio katika Uislamu. Mada hii inafichua sifa za kimsingi zinazofafanua haiba inayostawi na yenye athari chanya kutoka katika mtazamo wa Kiislamu. Mada hii imewasilishwa siku ya Alhamisi, Aprili 17, 2025, Saa 8:00 - 9:00 PM. Mahali: Haidery Plaza, Ghorofa ya 8, Posta Dar es Salaam, Karibu na Kituo cha Petroli cha GBP. Mzungumzaji: Sheikh Ali Azim Shirazi
-
Habari Pichani | Dua Nudbah ikisomwa na Wanafunzi wa Hawzah ya Imam Reza (as), Ikwiriri - Tanzania
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Leo tarehe 18 - 04 - 2025, Wanafunzi wa Hawzah Ridha (as) -; Ikwiriri - Tanzania, iliyopo chini ya Taasisi ya Kiislamu ya "Hojjat al_Asr Society of Tanzania" (inayosimamiwa na kuongoza na Samahat Syed Arif Ali Naqvi) wakiwa katika Dua ya Nudbah.
-
Habari Pichani | Maendeleo ya Kiislamu ya Falah 17 Aprili 2025
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - E EEAlhamdulillah, tumemaliza kipindi cha kutafakari kwa kina na kutia nguvu jioni hii! Sheikh Ali Azim Shirazi alitupitisha katika sifa muhimu zinazobainisha shakhsia yenye mafanikio kwa kuzingatia mafundisho ya Kiislamu; na kutukumbusha kwamba mafanikio ya kweli yanatokana na tabia, ikhlasi, na moyo unaofungamana na Mwenyezi Mungu. Asante kwa wote waliojiunga nasi; tuonane tena Alhamisi ijayo in shaa Allah!
-
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Bukina Faso, Ibrahim Traore
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Burkina Faso Captain Ibrahim Traore Mjini Ouagadougou na kushuhudiwa na baadhi ya maafisa waandamizi wa nchi zote mbili akiwemo Balozi wa Tanzania Madam Hoyce Temu. Mhe. Kikwete aliwasilisha pia salamu za Rais Samia ambazo zilielezea umuhimu wa nchi za Afrika kuimarisha ushirikiano wa kijamii na kiuchumi kama njia muhimu kwa bara hilo kujitegemea, hususan katika kipindi hiki ambapo misaada kutoka nchi za Magharibi imepungua kwa kiasi kikubwa.