Jiunge nasi kwa kipindi hiki chenye muhimu ambacho kinalenga kuhamasisha ukuaji, malengo, na mafanikio ya kiroho; katika ulimwengu huu (Duniani) na ujao (Akhera).
18 Aprili 2025 - 18:05
News ID: 1550138

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Sifa Muhimu za Mtu Mwenye Mafanikio katika Uislamu. Mada hii inafichua sifa za kimsingi zinazofafanua haiba inayostawi na yenye athari chanya kutoka katika mtazamo wa Kiislamu. Mada hii imewasilishwa siku ya Alhamisi, Aprili 17, 2025, Saa 8:00 - 9:00 PM. Mahali: Haidery Plaza, Ghorofa ya 8, Posta Dar es Salaam, Karibu na Kituo cha Petroli cha GBP. Mzungumzaji: Sheikh Ali Azim Shirazi
Your Comment