-
Ni ipi maana ya Meditation (Tafakuri - Kutafakari)?. Je, ni Dini au sio Dini? Samahat Sheikh Dr. Abdur-Razak Amiri anafafanua zaidi kuhusu hilo
"Meditation" ni aina fulani ya utaratibu unaofuatwa Duniani kote sasa hivi. Na baadhi ya watu ili waweze kutafuta namna fulani ya kupumzika na kupunguza shinikizo na mifadhaiko yao, ili wajisikie vizuri na kutibu baadhi ya maradhi ya kisaikoloji, huonekana wakifanya kitu hicho kinachoitwa Meditation.
-
Mwito wa Iran kwa jamii ya kimataifa wa kuzingatiwa hali ya Gaza
Esmail Baghaei, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuzingatia kwa uzito jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Gaza.
-
Baghaei: Israel imevunja rekodi zote za mauaji ya watoto duniani
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mauaji ya watoto yanayofanywa na Israel huko Ghaza yamevunja rekodi zote duniani na kwamba huo ni uhalifu wa kivita, ni jinai dhidi ya ubinadamu na ni mauaji ya umati kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
-
Wayahudi wa Uingereza walaani vita vya Israel dhidi ya watu wa Gaza
Wawakilishi kadhaa wa jamiii ya Wayahudi nchini Uingereza wamelaani sera za serikali ya Benjamin Netanyahu, wakiishutumu kwa kutenda kinyume na "maadili ya Kiyahudi" kuhusiana na vita dhidi ya watu wa Gaza huko Palestina.
-
Wasiwasi wa Ulaya uliotokana na mgeuko mkubwa katika sera za Marekani kuhusiana na washirika wake
Kubadilika sera za nje za Marekani kumeanza kidogo kidogo kuwatoa mafichoni wanasiasa wa Ulaya kwa kuwafanya waeleze kinagaubaga na kwa uwazi zaidi wasiwasi walionao kuhusu sera za Donald Trump za kujichukulia hatua za upande mmoja.
-
Trump apinga marekebisho ya sheria ya haki ya kubeba silaha
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa hana mpango wa kufanyia marekebisho sheria ya haki ya kubeba silaha nchini humo licha ya kushuhudia mara kwa mara ufyatuaji risasi mashuleni na katika vituo vya elimu nchini humo.
-
Umoja wa Ulaya una mpango wa kupunguza kufanya biashara na Marekani
Ripoti zinaonyesha kuwa Umoja wa Ulaya unabuni mikakati ya kupambana vilivyo kwenye vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na utawala wa Marekani unaoongozwa na Donald Trump.
-
Iran yataka kusitishwa kimya cha jamii ya kimataifa mkabala wa mashambulizi ya Marekani huko Yemen
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko bega kwa bega na wananchi wanamapambano wa Yemen na ametoa wito wa kukomeshwa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya ukiukwaji wa wazi wa sheria za kibinadamu na kanuni za kimataifa unaofanywa na Marekani dhidi ya watu wa Yemen.
-
Muqawama wa Ghaza watoa pigo jingine, waangamiza na kujeruhi Wazayuni 6
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeripoti "tukio kubwa la usalama" katika Ukanda wa Ghaza na pigo jingine jipya kutoka kwa Muqawama dhidi ya wanajeshi vamizi wa Israel.
-
Araqchi: Uhusiano wa Iran na Russia ni imara na wa kimkakati
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi ameutaja uhusiano wa Iran na Russia kuwa ni imara mno na kwamba Moscow ni mshirika mkuu na wa kistratijia wa Iran.
-
Pezeshkian: Iran yajitahidi kutatua migogoro na kukuza Amani
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, amesisitiza kuwa serikali yake imejikita katika kutatua migogoro na kukuza amani, huku akieleza kuwa juhudi hizo hazitategemea matokeo ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani.
-
Press TV: Duru ya pili ya mazungumzo ya Iran na Marekani imefanyika Rome katika 'anga chanya'
Duru ya pili ya mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani imefanyika katika mji mkuu wa Italia, Rome leo Jumamosi katika "anga chanya". Hayo yameelezwa na ripota wa chaneli ya televisheni ya Press TV.
-
Morocco; Imeshuhudia Mikusanyiko 105 ya Kuunga Mkono Palestina
Al Jazeera Qatar imeripoti kuwa, (mikusanyiko) maandamano 105 yalifanyika katika miji 58 ya Morocco katika kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Gaza.
-
Mwisho wa mazungumzo ya Roma / Araqchi: Mazungumzo ya kiufundi katika ngazi ya wataalamu yatafanyika kuanzia Jumatano + Video
Baada ya mazungumzo ya saa nne mjini Roma, Waziri wa Mambo ya Nje alitangaza kuwa kumepatikana maendeleo mazuri kuhusu kanuni na malengo ya mazungumzo hayo.
-
Picha | Ushirikiano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Ushirikiano wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika muktadha wa kubadilishana ujuzi na maarifa katika kazi hii muhimu ya zimamoto na uokoaji. Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji kutoka nchini Iran alifika nchini Tanzania na kutembelea Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilicho Temeke, Jijini Dar-es-Salam - Tanzania. Samahat Sheikh Rajab Mgereza alisaidia kutarjumu Lugha ya Kiajemi kwenda Lugha ya Kiswahili na kurahisisha mawasiliano ya majeshi haya mawili ya Zimamoto na Uokoaji ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maisha ya Mwanadamu ni Maisha ya Ushirika baina ya Mwanadamu na Mwanadamu. Ushirika ni hitaji muhimu sana kwa Mwanadamu.
-
Habari Pichani | Darul-Muslimeen iliweza kufika katika Kijiji cha Kikole, Kondoa(Kilomita 200 kutoka Dodoma Mjini), na kusaidia familia zenye mahitaji
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Alhamdulillah, Darul-Muslimeen iliweza na kufanikiwa kufika katika Kijiji cha mbali huko Kikole, Kondoa (Takriban Kilomita 200 kutoka Dodoma Mjini), ili kusaidia familia zenye mahitaji kwa kuwapatia pakiti za chakula katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (Ulioisha) wa Mwaka huu 1446Hijria.
-
Picha | Wanafunzi - Mabanati wa Hawzat Hadhrat Zainab (s.a), Kigamboni, Dar- es- Salam wakiwa katika Mitihani ya Mashindano ya 30 ya Qur'an na Hadithi
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Katika picha hizi ni Wanafunzi Mabanati wa Hawzat Hadhrat Zainab (s.a) iliyopo eneo la Kigamboni - Jijini Dar - es - Salam, chini ya Jamiat Al-Mustafa (s) International Foundation, Dar-e- Salam - Tanzania, wakiwa katika Mashindano ya 30 ya Qur'an na Hadithi. Katika tukio hili pichani, ni sehemu ya Mashindano hayo ambapo Wanafunzi wanashindana katika mitihani iliyogawanyika katika maeneo matatu yafuatayo: 1- Mtihani wa Hadithi 2- Mtihani wa Nahjul - Balagha 3- Mtihani wa Tafsiri ya Qur'an Tukufu.
-
Habari Pichani | Ziara ya Dkt.Ali Taqavi, Mkuu wa Uwakilishi Jamiat Al-Mustafa (s), Dar-es-Salam - Tanzania, katika Mashindano ya Awali ya Qur'an
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Ziara ya Mkuu wa Uwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa(S), Dar-es-Salam - Tanzania, Dkt.Ali Taqavi, katika Hawza ya Hadhrat Zainab (s.a) iliyopo Kigamboni - Dar-es-Salam, ili kuhudhuria katika Mashindano ya Awali ya Tamasha la 30 la Qur'an Tukufu na Hadithi Tanzania, yanayojumuisha washiriki kutoka katika Hawza na Madarisi mbalimbali.
-
Habari Pichani | Mwenyekiti JMAT-TAIFA Katika Maandalizi ya Jambo la Qur'an na Dua ya kumuombea Rais Dr.Samia Suluhu Hassan litakalofanyika kwa Mkapa
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mwenyekiti wa JMAT-TAIFA, Samahat Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum akiwa katika kikao Cha Maandalizi ya jambo la Qur'an Tukufu na Dua ya kumuombea Rais wa Tanzania Mh. Dr.Samia Suluhu Hassan. Jambo hili kubwa la Qur'an Tukufu linatarajiwa kufanyika Katika Uwanja wa michezo wa Mkapa, Jijini Dar-es-salaam - Tanzania.