-
Darsa la Kiroho (Akhlaq ya Kiislamu) kwa Mabinti wa Hawzat Hazrat Zainab (sa) + Picha
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Darsa la Kiroho kwa Wanafunzi Mabinti wa Hawzat ya Hazrat Zainab (sa), chini ya usimamizi wa Jami'at Al-Mustafa International – Tawi la Dar es Salaam, Tanzania.
-
Zawadi ya Hijja: Tukio Muhimu katika Kongamano la 30 la Jamiat Al-Mustafa (s) + Picha
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Zawadi ya Hijja ni miongoni mwa matukio ya kipekee yaliyoambatana na Kongamano la 30 la Jamiat Al-Mustafa (s), lililofanyika tarehe 20 Mei, 2025. Katika kongamano hili, wahudumu wa Qur’an Tukufu kutoka nyanja mbalimbali walituzwa zawadi nono, ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wao katika kuieneza na kuitumikia Qur’an.
-
Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge Akutana na Kumkaribisha Shakir Najad, Msomaji Bingwa wa Qur’an kutoka Iran, Katika Kongamano la 30 la Qur’an Tukufu
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithna Ashari Tanzania (T.I.C), akisalimiana na Shakir Najad, Msomaji Bingwa wa Qur’an Tukufu kutoka nchini Iran, walipokutana katika Kongamano la 30 la Qur’an Tukufu lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa, Tawi la Dar es Salaam.
-
Nguvu ya Maamuzi Inashinda Haja na Matamanio ya Mwanadamu | Matamanio hukutaka uishi kwa sasa; Maamuzi hukutaka uishi kwa heshima
“Watu wengi wanataka kubadilika katika maisha yao na kuwa na maendeleo mazuri, lakini ni wachache kati yao wanaofanya hivyo, kwa sababu Nguvu ya Maamuzi ndani yao ni ndogo, na ukizingatia Nguvu ya Maamuzi ndio inayobeba matokeo chanya, na si haja pekee.”