-
Ufafanuzi kuhusu Jibu la Iran kwa Marekani litatekelezwa kwa namna ipi? | Mpango mzima wa Iran ni kuichakaza na kuimaliza Israel - Haina pa kutokea
Iran inasisitiza kuwa vita hii itaendelea hadi utawala wa Kizayuni uangamizwe kabisa, na uingiliaji wowote wa nje utazidisha tu uhamasishaji na ukali wa mapigano ya Iran.
-
Pezeshkian: Shambulio kwenye taasisi za nyuklia ni kielelezo tosha kuwa Marekani ni msababishaji mkuu wa hatua za uhasama za Kizayuni dhidi ya Iran
Jibu kali la Iran lilikuwa ujumbe wa wazi kwa wahalifu wa Kizayuni. Marekani, baada ya majibu makali na ya kuadabisha kutoka kwa vikosi vya ulinzi vya nchi yetu, na kuona udhaifu na ulegeaji wa wazi wa utawala wa Kizayuni, hawakuweza kuvumilia ispokuwa kutojitokeza na kuamua kujitumbukiza rasmi kwenye dimbwi la uhasama."
-
Video | Mwanamke Mlowezi wa Kiyahudi akionyesha hofu na wahka na kumfungia jirani yake mlango wa eneo la kujificha!
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Katika video hii anaonekana Mwanamke wa Kizayuni mlowezi katika ardhi za Palestina akipambana kumzuia jirani yake na kumfungia mlango wa eneo la kujificha na kujihafadhi wakati wa shambulizi la makombora ya Iran, lililowafanya wakimbie kwa hofu kubwa baada ya kusikia sauti za ving'ora vya tahadhari kwamba makombora ya Iran yanakuja, hivyo kila mtu akimbilie eneo la kujificha. Ni dalili ya wazi kuwa maeneo ya kujificha na kujihifadhi kwa wazayuni hayatoshi, hivyo kuna vita kubwa baina yao ya kugombani maeneo ya kujificha.
-
Israel yashuhudia nguvu kubwa ya Iran kwenye uwanja wa vita | Picha zinaonyesha jinsi ilivyogeuzwa kuwa ardhi ya magofu + Picha
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - Baada ya Iran kuachia wimbi la 20 la mashambulizi ya makombora kuelekea utawala ghasibu wa Israel, maeneo yote yoliyolengwa kwenye shabaha yageuzwa kuwa majivu.
-
Kwa mara ya kwanza, Iran imeshambulia Utawala wa Israel kwa kutumia kombora hatari la Khaibar lenye kutumia Lenzi + Video
Shirikja la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Jeshi la IRGC limethibitishia kuwa limetumia makombora yenye kutumia teknolojia ya lenzi, aina ya Khaibar, asubuhi ya leo (22 - 06- 2025). Makombora hayo hatari yenye uawezo wa kubeba ndani yake rekoti zaidi ya 26, yameyatwanga maeneo mbalimbali na muhimu ndani ya Israel.
-
Hapa ni Israel sio Ghaza! | Tizama Makombora ya Iran leo hii asubuhi yalivyoichakaza Israel na kuigeuza kichwa chini miguu juu + Video
Shirika la Habari la Kimatifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo hii asubuhi, Jamhuri ya kiislamu ya Iran ilifanya shambulizi kali la makombora katika maeneo mbalimbali ya Palestina yanayokaliwa kimabavu na Utawala Haram wa Israel. Picha zinaonyesha jinsi maeneo yaliyolengwa katika shabaha jinsi yalivyosambaratishwa kikamilifu. Jeshi la Iran limetoa taarifa kuwa limelenga maeneo ya kijeshi na kiistratejia ndani kabisa ya Israel na Makombora yote yamepiga shabaha zake kwa mafanikio makubwa.
-
Redio ya Israel: "Uharibifu Mkubwa umetokea Tel Aviv, Haifa, na Nes Tsiuna baada ya Kushambuliwa na Makombora ya Iran
Viongozi wa Kizayuni bado hawajatoa takwimu kuhusu vifo vinavyowezekana, lakini vyanzo vya ndani vinaripoti kwamba maeneo hayo yote yanawaka moto na uharibifu mkubwa umejitokeza.
-
Malalamiko ya Iran dhidi ya Grossi Kuhusu Mbinu Yake kwa Mpango wa Amani wa Nyuklia wa Iran
Iran imewasilisha malalamiko yake dhidi ya Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza la Usalama, kuhusu mbinu yake kwa mpango wa amani wa nyuklia wa Iran. Amir Saeid Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, katika barua yake amesema kuwa matamshi ya hadhara ya Grossi, yaliyotolewa kabla ya hatua ya hivi karibuni ya uchokozi ya utawala wa Israel dhidi ya Iran, ni ukiukaji wazi na mkubwa wa kanuni ya kutokuwa na upendeleo na haupatani na majukumu na wajibu wake wa kisheria chini ya Sheria ya IAEA.
-
Jukumu la Grossi Katika Uchokozi wa Utawala wa Kizayuni Dhidi ya Iran Kufuatiliwa Katika Baraza la Usalama
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Sheria na Kimataifa ametangaza kuwa jukumu la misimamo na vitendo vya Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), katika uchokozi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, litaakisiwa katika hati itakayowasilishwa kwa Baraza la Usalama.
-
Yemen: Marekani Inawajibika kwa Matokeo ya Mashambulizi Dhidi ya Iran
Afisa mkuu wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen ameionya Marekani kuhusu shambulio linalowezekana dhidi ya Iran, akisisitiza kwamba Washington itawajibika kwa matokeo ya hatua kama hiyo.
-
Hamas: Tunalaani vikali uchokozi wa Marekani dhidi ya Iran
Harakati ya Hamas imetoa taarifa ikilaani vikali uchokozi wa hivi karibuni wa Marekani dhidi ya uhuru wa Iran.
-
Idhini ya Habari za Shambulio dhidi ya Kituo cha Nyuklia cha Fordow Kutoka Kamati ya Usimamizi wa Maafa Mkoani Qom
Kamati ya Usimamizi wa Maafa ya Mkoa wa Qom imethibitisha habari za shambulio la anga la adui dhidi ya kituo cha nyuklia cha Fordow.
-
Trump Atangaza Ushiriki wa Marekani Katika Shambulio la Vituo vya Nyuklia vya Iran
Donald Trump, Rais wa Marekani, ametangaza rasmi kuwa ndege za kivita za nchi yake zilishiriki katika shambulio dhidi ya vituo vitatu vya nyuklia nchini Iran.
-
Onyo la Kambi ya Khatam: Kupeleka Vifaa vya Kijeshi kwa Israel ni Lengo Halali kwa Iran
Msemaji wa Makao Makuu ya Kati ya Khatam al-Anbiya (SAW) ameonya kwamba kutuma aina yoyote ya vifaa vya kijeshi au rada na nchi yoyote kwa utawala wa Kizayuni kwa lengo la kuusaidia, kutachukuliwa kama ushiriki katika uchokozi dhidi ya Iran ya Kiislamu na itakuwa lengo halali kwa vikosi vya kijeshi vya Iran.
-
Shambulio dhidi ya Vituo vya Nyuklia vya Isfahan na Natanz
Naibu Gavana wa Usalama wa Mkoa wa Isfahan ametangaza shambulio dhidi ya vituo viwili vya nyuklia katika mkoa huo.
-
Haram ya Imam Hussein (as) yapambwa kwa vitambaa vyeusi sambamba na kukaribia Mwezi wa Huzuni wa Muharram + Picha
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Haram Tukufu ya Imam Hussein (as) Nchini Iraq, imepambwa rasmi kwa vitambaa vyeusi katika kujiandaa kuadhimisha Siku za Maombolezo na Majonzi za ndani ya Mwezi wa Huzuni wa Muharram.
-
Jenerali Naeini: Makombora ya IRGC yaligonga pointi 14 za kijeshi za Kizayuni jana usiku + Picha
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Msemaji na Naibu Mkuu wa Mahusiano ya Umma wa IRGC: Matokeo ya Mashambulizi ya Makombora ya Iran kwenye maeneo ya Palestina yanayokaliwa kimabavu na Utawala haram wa Israel, katika Mashambulizi ya wimbi la 18, yalilenga kwa mafanikio maeneo 14 ya kijeshi ya kimkakati huko Haifa na Tel Aviv.
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini | "Tunasimama bega kwa bega na Iran"
Amesisitiza kuwa: Serikali na wananchi wa Afrika Kusini wanalaani vitendo vya kinyama vya utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya wananchi wa eneo la kikanda hususan watu wa Palestina, Lebanon na Iran.