Imekuwa ni malalamiko ya kila siku kutoka kwa raia wa Marekani wenye asili ya kiafrika kulalamika kuonewa na kuuliwa na polisi bila ya sababu, hata wengine wakafikia kusema kwamba kuwa mweusi kunamaanisha kuwa mhalifu.
25 Novemba 2014 - 10:45
News ID: 653905