Pendekezo jipya la Washington la Ushirikiano wa Kijamii Kati ya Syria na Utawala wa Kizayuni.
Pendekezo jipya la Marekani la ushirikiano wa usalama kati ya Syria na utawala wa Israel linaonekana kama hatua mpya kuelekea kuhalalisha na kudumisha ukoloni, likifanyika chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Marekani.
Vikosi vya Genge la Kigaidi la HTS, vinavyoongozwa na Al-Julani, leo asubuhi viliingia katika Mji wa Suwayda, vikiwa na maagizo yaliyoitwa kuwa Maagizo ya "Kulinda Raia".