Mkutano huu unaakisi nia ya dhati ya pamoja ya vyuo hivyo viwili katika kuinua ubora wa elimu ya juu, kupanua ushirikiano wa baina ya vyuo vikuu, na kubadilishana uzoefu wa kielimu nchini Côte d’Ivoire.
Mratibu wa Kamati ya Maadhimisho ya Mashahidi wa Gilan wanaoishi Qom amesema kuwa:
Maadhimisho ya nne ya mashahidi wa Gilan wanaoishi mjini Qom yatafanyika jioni ya tarehe 11 Azar, sambamba na kukumbuka siku ya kuuawa kishahidi Mirza Kuchak Khan Gilani, katika Husainiya ya Bwana wa Mashahidi (a.s) jijini Qom.