Chanzo: Kituo cha Kitaifa cha Majibu ya Maswali ya Dini | Swali:
Ikiwa Binadamu wote wana Fitra moja ya kumpwekesha Mungu na Manabii (as) daima wamekuwa wakiwaita watu katika ibada ya Kumuabudi Mwenyezi Mungu Mmoja, basi kwa nini katika historia, jamii nyingi kama Waarian wa kale au Wahindu walipata kuangukia kwenye ushirikina na ibada ya miungu mingi? Je, jambo hili si kinzani na madai ya kidini (juu ya Fitra ya Mwanadamu kuwa ya kumpwekesha Mwenyezu Mungu)?.