Imam Reza (as)
-
Msikiti wa Haram ya Imam Reza (a.s) - Mashhad, Iran, Unashikilia Rekodi ya Dunia kwa kuwa na Eneo Kubwa Zaidi Kuliko Misikiti Yote Duniani
Misikiti 10 Yenye Maeneo Makubwa Zaidi Duniani (Tanbihi: Ukubwa unakusudiwa ni Eneo zima la Msikiti - Sio Uwezo wa Idadi ya Waumini wanaingia ndani yake, kwa kutizama uwezo Msikiti wa Kwanza uwezo inakuwa ni Masjid Al-Haram, ndio unaongoza kwa kubeba watu wengi zaidi kuliko Misikiti mingine, kwa Mantiki Masjid Imam Reza a.s inakuwa ya Tatu Duniani kwa kutizama uwezo na Ukubwa wa eneo, lakini inakuwa ya kwanza Duniani kwa kutizama Ukubwa wa eneo tu).
-
Kuomba Mvua katika Fikra za Kiislamu na Kishia / Sehemu ya Kumi; Nafasi ya Uimamu katika Kushuka kwa Mvua ya Rehema
Sala ya kuomba mvua ya Imam Reza (a.s) ni miongoni mwa matukio maarufu ya kihistoria ambayo ndani yake, mbali na kusisitiza juu ya kuomba na kumlilia Mwenyezi Mungu, pia imebainishwa nafasi maalumu ya Uimamu na Ahlul-Bayt (a.s) katika kushuka kwa mvua ya rehema ya Mwenyezi Mungu.
-
Majlis ya Mazazi ya Imam Ridha (as) yafanyika Jamiat Al-Mustafa(s), Tanzania | Hadithi Toka Vyanzo vya Kisunni Zinathibitisha Makhalifa Kumi na Wawili
Lengo la Mazungumzo Haya ni: Kuleta maelewano baina ya Madhehebu za Kiislamu na kuonyesha kuwa msingi wa Uimamu na Ukhalifa wa Maimam Kumi na Wawili wa Ahlul-Bayt (a.s), wanaofuatwa na Waislamu wa Madhehebu ya Shia Ithna Ashari, una mizizi pia katika vyanzo vinavyokubalika vya Kisunni.