Kasisi

  • Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran Lafichua Droni Mpya ya Kujitoa Mhanga ya Kasi ya Juu imayoitwa:  “Hadid-110 | Hadid yaani: Chuma

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran Lafichua Droni Mpya ya Kujitoa Mhanga ya Kasi ya Juu imayoitwa: “Hadid-110 | Hadid yaani: Chuma

    Hadid-110 ilizinduliwa kwa kutumia mfumo wa reli unaosaidiwa na roketi, hali inayoiwezesha kufikia kasi ya juu mara baada ya kurushwa. Muundo wake wa kisasa unaojumuisha injini ndogo ya jet na umbo lenye pembe maalumu (low-observable faceted design) umeundwa mahsusi ili kupunguza uwezekano wa kugunduliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.

  • Sherehe za Kuteua Viongozi wa Kidini katika Ukristo

    Sherehe za Kuteua Viongozi wa Kidini katika Ukristo

    Uteuzi wa kidini ni sherehe ya kupewa mamlaka ya kushika nafasi za kanisa kwa mtu, na hufanyika tu na Askofu, pamoja na kutakatifuza na kumpa Roho Mtakatifu mtu husika, na mtu hupata uwezo wa kufanya shughuli za kanisa. Katika Uislamu, kiongozi wa kidini ni mhubiri tu wa dini na hawezi kushiriki katika kutunga hukumu. Zaidi ya hayo, uteuzi na kupata mwanga wa kutokosea (infallibility) ni jambo linalomweka kiongozi wa kidini katika nafasi isiyo na shaka, jambo linalopingana na wajibu wa wananchi wa kusimamia kiongozi wa kidini na kuepuka viongozi wenye tamaa za kidunia.