Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Urusi, Dmitry Medvedev, amesema kuwa Muungano wa Ulaya umeingia katika vita dhidi ya Urusi kwa uamuzi wake wenyewe, akionya kuwa kipindi cha "usingizi wa amani" kwa wananchi wa Ulaya kimefikia mwisho.
Washington Post imetahadharisha katika ripoti yake kwamba Ulaya inakabiliwa na janga la idadi ya watu; janga hili linaweza kuathiri nguvu kazi, ukuaji wa uchumi, na uthabiti wa kijamii wa bara hilo.