Meza maalumu za ushauri kuhusu uchaguzi wa fani za masomo na mwelekeo wa taaluma za kazi, zikihusisha wahadhiri kutoka vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu za mkoa wa Khorasan Razavi, zimefanyika katika misikiti saba iliyochaguliwa katika mji wa Mashhad, nchini Iran.
Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Umoja wa Waislamu nchini Pakistan amesema kuwa, badala ya Pakistan kujiunga na vita kwa upande mmoja katika mgogoro kati ya Yemen na Saudi Arabia, inapaswa kufanya juhudi za kuleta amani.