Katibu Mkuu wa Ansarullah asema Saudi Arabia imekuwa ikiendesha mashambulizi dhidi ya Yemen kwa msaada wa Marekani na usimamizi wa Israel, akisisitiza kuwa Yemen iko katika nafasi ya kujilinda.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi, Maria Zakharova, amesema kuwa dunia nzima sasa imeelewa maana ya mazungumzo kwa mtindo wa Magharibi, akisema kuwa nchi za Magharibi hutumia tuhuma za kutaka kuonyesha kuwa upande mwingine hautaki mazungumzo kama kisingizio cha kuandaa mazingira ya vita.
Gazeti la Washington Post limefichua pazia la uratibu wa siri kati ya Tel Aviv na Washington katika kuendesha vita ya kisiri dhidi ya Iran—vita ambayo kiini chake kimekuwa ni kuwaua wanasayansi wa Iran.