Wanazuoni hao walionya kuwa tabia kama hiyo hufungua mlango kwa wenye misimamo mikali wa dini nyingine kushambulia matakatifu ya watu wengine, na hata Huongeza uwezekano wa vitendo vya kulipiza kisasi, jambo ambalo jamii ya Marekani inaweza kuathirika nalo kwa kiwango kikubwa.
Ayatollah Jannati alilaani vikali shambulio la kigaidi lililofanywa na utawala haramu wa Kizayuni dhidi ya mji wa Sana'a, Yemen, ambalo lilipelekea kuuawa kwa Waziri Mkuu na mawaziri kadhaa wa serikali ya mapinduzi ya Yemen.