Sheikh Swaleh Maulid, Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika Madrasat Hazrat Zainab (sa), Kigamboni – Tanzania, ametoa mawaidha kuhusu umuhimu wa kujenga tabia njema na kuchukua hatua za kiroho zinazomsaidia mwanadamu kujiepusha na vishawishi vya Shetani.
Utawala wa Rais Donald Trump waelekea kumzuia Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas (Abu Mazen) kuingia Marekani na kushiriki katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York, kwa mujibu wa vyanzo vya Marekani vilivyonukuliwa na vyombo vya habari vya Israel.