Kufuatia uvamizi wa hivi karibuni wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, baadhi ya viongozi wa dini zinazomuamini Mungu nchini walikusanyika katika Kongomanano la Kitaifa la “Dini za Ki_Mungu na suala la Uvamizi wa Kizayuni na Magharibi dhidi ya Iran”. Katika Kongamano hilo, walilaani vikali kitendo hicho na kusisitiza umuhimu wa kusimama kidete dhidi ya dhuluma, umoja wa dini za Mwenyezi Mungu Mmoja, na kusherehekea mchango wa kipekee wa utamaduni wa Kiarabu katika kuhifadhi heshima, amani, na upinzani.
Alikubali kuwa kibaraka na jasusi wa Mossad kwa malipo ya vipande vya karatasi za Dola ili aliuze na kuliumiza Taifa, na leo hii amepata haki yake ya kikatiba anayoistahili. Na huu ndio mwisho wa watu waovu ulivyo.