Maelfu ya waumini wa Ahlul-Bayt (as) jijini Dar es Salaam wamefanya Masira ya A'shura katika Wilaya ya Temeke kwa lengo la kuhuisha ujumbe wa Imam Hussein (as), kulaani mauaji ya Karbala na kusisitiza kusimama upande wa haki, uadilifu na kupinga dhulma.
Hata kama Israel na Hamas watafanya makubaliano kuhusu mapumziko ya mapigano au kumalizika rasmi vita baina yao, hali ya kibinadamu Gaza bado itaendelea kuwa mbaya.
Mmoja wa walionusurika, Malam Bukar, alisema:
"Walivamia kijiji wakipiga mayowe na kuanza kuwashambulia watu kiholela. Tuliporudi asubuhi, miili ya watu ilikuwa imetapakaa kila mahali."