Ofisi ya Rais wa Korea Kusini imekanusha taarifa zinazoeleza kuwa Seoul imeamua kutuma vikosi katika Mlango-Bahari wa Hormuz, na kutangaza kwamba maelezo kuhusu ushiriki wa nchi hiyo katika kuhakikisha utulivu wa kikanda bado hayajakamilishwa, huku mazungumzo ya kiusalama na Marekani katika suala hilo yakiwa hayajapiga hatua.
Mike Johnson, Spika wa Bunge la Marekani, amekana Kutumwa kwa Maafisa wa Kijeshi Kwenda Venezuela.
Mike Johnson, spika wa Bunge la Marekani, ameweka wazi kuwa Marekani haijasambaza au kutuma majeshi yake nchini Venezuela.