Kuunga Mkono
-
Mkusanyiko wa watu wa Venezuela katika kuunga mkono malengo ya Palestina na kulaani mauaji ya kimbari yanayoendelea Gaza
Katika jimbo la Vargas, Venezuela, vikundi na mashirika ya kijamii, kwa msaada wa "Jukwaa la Mshikamano na Malengo ya Palestina", siku ya Jumamosi tarehe 13 Septemba 2025, walikusanyika pamoja ili: Kulaani mauaji ya kimbari yanayoendelea Gaza, Kuonesha upinzani wao dhidi ya sera na vitisho vya serikali ya Marekani dhidi ya nchi yao, Na kusisitiza juu ya haki ya Venezuela ya kujitawala kama taifa.
-
Mufti wa Oman:
“Inasikitisha kuwa waandishi wa habari wanauawa Gaza na baadhi wanaendelea kuwaunga mkono wavamizi”
Mufti wa Oman amelaani mauaji ya waandishi wa habari katika mji wa Gaza yaliyofanywa na jeshi la Israel, na kutamka masikitiko yake juu ya kuendelea kwa baadhi ya watu na nchi kuunga mkono wavamizi.
-
Mkutano mkubwa katika Seminari ya Qom kufanyika katika kuunga mkono vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Mkusanyiko mkubwa wa Seminari (Hawza) ya Qom umelaani utawala haram wa Kizayuni utafanyika katika Seminari ya Faiziyah.
-
Mwanazuoni wa Kishia wa Pakistani:
Uungaji mkono wa Serikali ya Pakistan kwa Iran ni hatua ya kijasiri na ya kupongezwa
Katibu Mkuu wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Pakistan amepongeza uungaji mkono wa serikali ya Pakistan kwa Iran dhidi ya mashambulizi ya Israel na ameitaja hatua hiyo kuwa ya kijasiri na ya kupongezwa na kuzitaka nchi za Kiislamu kuchukua misimamo thabiti dhidi ya uvamizi wa Wazayuni.