Kuvamia

  • Hakim: Kimya mbele ya uvamizi wa Israel hakikubaliki

    Hakim: Kimya mbele ya uvamizi wa Israel hakikubaliki

    Sayyid Ammar Hakim amesema kuwa ujasiri wa hali ya juu na dharau ya wazi ya utawala wa Kizayuni katika kuvamia nchi za Kiarabu na Kiislamu, na kutenda jinai za kila siku dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, Ukingo wa Magharibi, Syria, Lebanon, Yemen, Iran na Qatar ni jambo ambalo kimya dhidi yake hakikubaliki.