Matokeo ya utiifu ni nini?. Amirul-Mu’minin Ali bin Abi Talib (AS) katika khutba ya 156 anasema:
«إِنْ أَطَعْتُمُونِی فَإِنِّی حَامِلُکُمْ إِنْ شَاءَ اللَّهُ عَلَی سَبِیلِ الْجَنَّةِ»
Yaani: “Mkinitii mimi – mimi kama Imamu– bila shaka nitawaongoza katika njia ya Peponi"
Marekani na Israel ni wakiukaji wakubwa wa Haki za Binadamu na waendelezaji wa vita visivyo halali dhidi ya Mataifa ya Kiislamu (Palestina, Yemen, Lebanon, Iraq, Iran n.k).