Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Yemen, katika taarifa yake, imelaani shambulio la anga la Saudi Arabia dhidi ya msikiti mmoja katika eneo la Jashia, wilaya ya Hayfan, mkoani Taiz, na kulitaja kuwa ni uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Marasimu ya kihistoria ya mazishi ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Hussein Khamenei, pamoja na mashahidi wa familia yake, yanafanyika leo nchini Iraq kwa ushiriki wa maelfu ya waombolezaji.